Katika - Navy Kenzo, Diamond Platnumz

Katika - Navy Kenzo, Diamond Platnumz

Год
2018
Язык
`Suaheli`
Длительность
197300

Nachfolgend der Liedtext Katika Interpret: Navy Kenzo, Diamond Platnumz mit Übersetzung

Liedtext " Katika "

Originaltext mit Übersetzung

Katika

Navy Kenzo, Diamond Platnumz

Yeah yeah

No no

Nahreel on the beat

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Ninamidadi ka ya rumba, eeh

Kibao kata kinyonga, ooh naa

Mfukoni namavumba, weeeh

Nungu chini linasunta, eeeh

Yani bo bo bo bo

Kananikoshaga roho ooo

Yani nasimama de de de de

Kakitingisha wo wo wo wo

Baby girl dance for me one time (secreto)

Miono feni kunata (secreto)

Tena jifunge na ngata (secreto)

Zile za kibao kata (secreto)

Baby girl dance for me one time (secreto)

Miono feni kunata (secreto)

Tena jifunge na ngata (secreto)

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katikaaaeee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

(Mbbbrrrookkkee)

Katika, katikaaee

(Aaiiruubuudaani!)

Yani katoto ka ndi, kako ndi ndi ndi

Kamekazika yani ngi ngi ngi

Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii

Kana misifa shangi ngi ngi

Nilikavizia kitamboo (aah eeh)

Loe kamenasa chambo (aah eeh)

N’takapakia na mgando (aah eeh)

Kajegeje karambo (aah eeh)

Buuumbaaiii!

Kana michezo ngomani

Sindimba izombe

Nami nampatia za pwani

Muhogo wa jang’ombe

Yani e e e e

Kananikoshaga roho o o o

Waga nasimama de de de de

Kakitingisha wo wo wo wo

Oooh yaaah, ooh nadendea

Yani siwezi kutembea

Che cheme na chechemea

Yani hadi na legea

Aki!

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katikaaaeee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Maumivu naugulia

Mwiba ukizama nahisi mateso

Utamu mang’ang’ania

Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto

Nakuna Nazi kwa mkongojo (aah eeh)

Naunga mchuza wa sotojo (aah eeh)

Una la rosti rojo rojo (aah eeh)

Mikunjo Fulani wa bogojo (aah eeh)

Kibao kata tenteme tenteme

Kilinge ni kuzama uchutame

Uwezi pata we mpaka usimame

Haichagui mwembamba mnene

Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto)

Nikachezeshe samba (roketo)

Na kalivo na body kinanda (sepetu)

Tunguli zimenibamba (mobetto)

Mama

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katikaaaeee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Katika, katikaaee

Über 2 Millionen Songtexte

Lieder in verschiedenen Sprachen

Übersetzungen

Hochwertige Übersetzungen in alle Sprachen

Schnellsuche

Finden Sie die benötigten Texte in Sekundenschnelle.